



Kitabu hiki ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na walimu mahiri. Kitabu hiki kinakidhi matakwa ya mtaala mpya.
Kimeandaliwa kwa umahiri mkubwa, ili kuwezesha wanafunzi
kupata umahiri unaostahili katika kiwango chao. Kina mazoezi na maswali ya
kutosha na yenye changamoto ilikuamsha ari ya wanafunzi kusoma. Hadithi na vina
vya kuvutia, kusisimua na kutoa mafunzo kwa wanafunzi.
Book Jifunze Kiswahili darasa La 4
Tsh 7,200