



Kitabu hiki kimeandaliwa kuendana na mtaala mpya. Ni kitabu chenye kusaidia mwanafunzi kusoma lugha ya kiswahili kiufasaha bila kuhairi na kuimba yaliyomo, bali kusoma na kuelewa lugha ya kiswahili na kuboresha ujuzi wa mwanafunzi.
Kitawafaa waalimu katika kufundisha kwa urahisi kwani kimejaa mifano mingi, mazoezi ya kutosha, hadithi nzuri zenye kumpa mwanafunzi fikra sahihi za maisha katika jamii yake.
Book Kiswahili darasa la 4
Tsh 7,200